Kitabu cha picha cha lugha mbili , Swahili – Kikurdi (Sor.) (زمانی سەواحیلی – کوردی / سۆرانی)

Kitabu cha picha cha lugha mbili

Tim hawezi kupata usingizi. Mbwa mwitu wake mdogo amekosekana. Je , labda amemsahau nje? Tim anatoka peke yake usiku na anakutana na baadhi ya marafiki...

"Lala salama, mbwa mwitu mdogo" ni hadithi ya kusisimua wakati wa kulala. Imetafsiriwa katika lugha zaidi ya 50. Na inapatikana kama toleo la lugha mbili katika muungano wa lugha ziwekanazo.

تیم خه‌وی لێ ناکه‌ویت. گورگه‌ پچکۆله‌که‌ی دیار نیه‌! بڵێیت له‌ ده‌ره‌وه‌ جێی هێشتبێت؟ به‌ ته‌نها و به‌ شه‌و بۆی ده‌گه‌ڕێت ـ به‌ڵام که‌سانی تریش دێن بۆ لای...

.شه‌و شاد، گورگه‌ پچکۆله چیرۆکی منداڵانه‌ بۆ پێش نوستن، که‌ به‌ زیاتر له‌ ٥۰ زمان له‌ به‌رده‌ستدایه



* for Sony Reader, Tolino, Kobo etc.


Looking for other languages? Take another chance on the Language Wizard!